NIMR

Heri ya Siku ya Wakulima “Nanenane”

Section Title Heri ya Siku ya Wakulima “Nanenane” ByErick Mboma August 8, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR), in partnership with the University of Oslo, hosted a high-level Pandemic Ethics General Assembly today 30th July 2025, at its Sub Office in Dar es… Read More NIMR Hosts Pandemic Ethics Project General Assembly, Welcomes Experts from Six Countries ByErick Mboma July 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR), in partnership with the University of Oslo, hosted a high-level Pandemic Ethics General Assembly today 30th July 2025, at its Sub Office in Dar es… Read More NIMR Management Trained on Corporate Entrepreneurship ByErick Mboma July 30, 2025 Uncategorized In a strategic move to enhance institutional sustainability and increase revenue collections, the National Institute for Medical Research (NIMR) has conducted a high-level training on corporate… Read More NIMR Highlights Digital Health Solutions for HIV-Exposed Infants at National Child Health Congress ByErick Mboma July 27, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) played a pivotal role in the 2nd Tanzania Child Health and Welfare Congress, held from 23rd – 25th July 2025 in Arusha, by spotlighting cutting-edge… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Aonyesha Dhamira ya Kuimarisha Utafiti wa Afya ByErick Mboma July 26, 2025 Uncategorized Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, leo tarehe 25 Julai 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Muhimbili… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Apongeza Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili Mabibo ByErick Mboma July 25, 2025 Uncategorized Mwenyekiti mpya wa Baraza la Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, amefurahishwa na kazi inayofanywa na Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili cha NIMR Mabibo katika… Read More NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara ByErick Mboma July 16, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeanza rasmi utekelezaji wa utafiti wa majaribio ya tiba ya kuharakisha kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa matende na mabusha. Hayo… Read More NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa ByErick Mboma July 1, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa ByErick Mboma June 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS)… Read More

Heri ya Siku ya Wakulima “Nanenane” Read More »

NIMR Hosts Pandemic Ethics Project General Assembly, Welcomes Experts from Six Countries

The National Institute for Medical Research (NIMR), in partnership with the University of Oslo, hosted a high-level Pandemic Ethics General Assembly today 30th July 2025, at its Sub Office in Dar es Salaam. The assembly convened leading researchers and bioethics experts from Norway, Brazil, India, Nepal, Kenya, and the Philippines to deliberate on ethical obligations in health research during pandemics and epidemics, with a special focus on low- and middle-income countries (LMICs). This significant gathering is part of an international collaborative study titled “Developing National and Global Agendas for the Ethics of Post-Trial Arrangements in LMICs during Pandemics and Epidemics.” The project aims to strengthen ethical frameworks and policies that guide post-trial obligations, ensuring that research outcomes serve participants and communities equitably. Opening the event, NIMR Director General Prof. Said Aboud underscored the critical need for ethical preparedness in the face of future health emergencies. “This assembly is not just a meeting; it is a declaration of our shared commitment to ethical leadership in health research,” Prof. Aboud said. “Pandemics challenge systems, but they also reveal where justice and accountability must be reinforced. We are proud to contribute to shaping global and national agenda that prioritize fairness in clinical research.” The event highlights NIMR’s role as a continental leader in research ethics, both as a regulator and convener. The Institute continues to serve as a model for responsible research conduct, offering guidance and oversight for clinical trials in Tanzania and beyond. Ms. Sia Malekia, the Principal Investigator of the project at NIMR, described the three-day assembly as a timely platform for mutual learning and reflection. She noted that all seven participating countries presented their progress and experiences across several work packages, with a shared emphasis on justice in Post-Trial Arrangements (PTA). “Despite the diversity of our legal and health systems, PTA remains a universal ethical concern,” said Ms. Malekia. “This study helps us to better understand how laws and policies can be aligned with ethical principles to protect research participants, especially in resource-limited settings.” Representing the University of Oslo, Prof. Rosemaria La Cruiz Bernabe commended NIMR’s leadership and credibility in health research ethics. She said they chose to collaborate with NIMR because it is more than just a research institution. “NIMR serves as both an oversight and convening body. It plays a critical role in providing ethical oversight, especially in clinical trials. In Tanzania, there is no other institution with stronger expertise and leadership in research ethics than NIMR,” she said. The assembly also fostered rich cross-cultural dialogue, enabling participants to engage with Tanzania’s research landscape and cultural heritage. In closing, Prof. Aboud encouraged the international guests to experience the warmth and beauty of the country beyond the conference room. This assembly reaffirms NIMR’s continued dedication to shaping an equitable and ethical future for global health research. Through platforms like this, the Institute not only contributes to global policy but also strengthens national capacity for ethical preparedness in health emergencies. Section Title NIMR Hosts Pandemic Ethics Project General Assembly, Welcomes Experts from Six Countries ByErick Mboma July 30, 2025 Uncategorized In a strategic move to enhance institutional sustainability and increase revenue collections, the National Institute for Medical Research (NIMR) has conducted a high-level training on corporate… Read More NIMR Management Trained on Corporate Entrepreneurship ByErick Mboma July 30, 2025 Uncategorized In a strategic move to enhance institutional sustainability and increase revenue collections, the National Institute for Medical Research (NIMR) has conducted a high-level training on corporate… Read More NIMR Highlights Digital Health Solutions for HIV-Exposed Infants at National Child Health Congress ByErick Mboma July 27, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) played a pivotal role in the 2nd Tanzania Child Health and Welfare Congress, held from 23rd – 25th July 2025 in Arusha, by spotlighting cutting-edge… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Aonyesha Dhamira ya Kuimarisha Utafiti wa Afya ByErick Mboma July 26, 2025 Uncategorized Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, leo tarehe 25 Julai 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Muhimbili… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Apongeza Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili Mabibo ByErick Mboma July 25, 2025 Uncategorized Mwenyekiti mpya wa Baraza la Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, amefurahishwa na kazi inayofanywa na Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili cha NIMR Mabibo katika… Read More NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara ByErick Mboma July 16, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeanza rasmi utekelezaji wa utafiti wa majaribio ya tiba ya kuharakisha kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa matende na mabusha. Hayo… Read More NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa ByErick Mboma July 1, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa ByErick Mboma June 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS)… Read More Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya ByErick Mboma June 27, 2025 Uncategorized Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Bw. Aretas Lyimo ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kuunga mkono mapambano… Read More

NIMR Hosts Pandemic Ethics Project General Assembly, Welcomes Experts from Six Countries Read More »

NIMR Management Trained on Corporate Entrepreneurship

In a strategic move to enhance institutional sustainability and increase revenue collections, the National Institute for Medical Research (NIMR) has conducted a high-level training on corporate entrepreneurship on Management team .The two-day training, held from 28th to 29th July 2025 at the NIMR Sub-office in Dar es Salaam, brought together Directors and Managers from across the Institute. The goal was to equip them with knowledge and practical skills to unlock the value of NIMR existing tangible and intangible assets and reposition of the Institute for financial resilience and innovation-led growth.Officiating the training, NIMR Director General Prof. Said Aboud emphasized the importance of institutional transformation through change to entrepreneual mindset while implementing the core functions of the institute. He noted that NIMR possesses considerable tangible and intangible assets including highly trained and skilled research scientists, partnerships, networks and collaborations, buildings, state of the art laboratories, land, rental properties and a traditional medicine factory among others that should be leveraged as resource mobilization ventures to support its core research mandate.Prof. Aboud also highlighted the training alignment with the ongoing public institutions transformation implemented under President Samia Suluhu Hassan 4R philosophy – Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding. The pillars of Reforms and Rebuilding call for revitalizing public institutions to function more efficiently with the highest productivity.Facilitated by CDI Tanzania Ltd, the training aimed to strengthen leadership capacity across several strategic areas. Participants were engaged in sessions on enterprising behaviour, innovation and entrepreneurship, developing entrepreneurship at the individual level, ingredients of corporate entrepreneurship, enablers and barriers and developing corporate entrepreneurship at NIMR.At the end of the program, all participants were awarded certificates of completion, recognizing their engagement and commitment to advancing NIMR journey towards institutional transformation.In closing remarks, Prof. Aboud described the training as a timely and a strategic investment in human capital while demonstrating NIMR strong commitment to become a more agile, innovative and a research institution that contributes to a health sector. He urged participants to apply the knowledge gained to drive institutional transformation that promotes innovation and foster inclusive growth across the Institute. Section Title NIMR Management Trained on Corporate Entrepreneurship ByErick Mboma July 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) played a pivotal role in the 2nd Tanzania Child Health and Welfare Congress, held from 23rd – 25th July 2025 in Arusha, by spotlighting cutting-edge… Read More NIMR Highlights Digital Health Solutions for HIV-Exposed Infants at National Child Health Congress ByErick Mboma July 27, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) played a pivotal role in the 2nd Tanzania Child Health and Welfare Congress, held from 23rd – 25th July 2025 in Arusha, by spotlighting cutting-edge… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Aonyesha Dhamira ya Kuimarisha Utafiti wa Afya ByErick Mboma July 26, 2025 Uncategorized Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, leo tarehe 25 Julai 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Muhimbili… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Apongeza Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili Mabibo ByErick Mboma July 25, 2025 Uncategorized Mwenyekiti mpya wa Baraza la Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, amefurahishwa na kazi inayofanywa na Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili cha NIMR Mabibo katika… Read More NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara ByErick Mboma July 16, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeanza rasmi utekelezaji wa utafiti wa majaribio ya tiba ya kuharakisha kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa matende na mabusha. Hayo… Read More NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa ByErick Mboma July 1, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa ByErick Mboma June 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS)… Read More Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya ByErick Mboma June 27, 2025 Uncategorized Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Bw. Aretas Lyimo ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kuunga mkono mapambano… Read More NIMR Advocates for Broader One Health Strategy at Regional Health Conference in Juba ByErick Mboma June 26, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) has called for a bold expansion of the One Health approach to address both communicable and non communicable diseases (NCDs) in Africa during the… Read More

NIMR Management Trained on Corporate Entrepreneurship Read More »

NIMR Highlights Digital Health Solutions for HIV-Exposed Infants at National Child Health Congress

The National Institute for Medical Research (NIMR) played a pivotal role in the 2nd Tanzania Child Health and Welfare Congress, held from 23rd – 25th July 2025 in Arusha, by spotlighting cutting-edge digital solutions to advance child health care.During the Congress, NIMR hosted a high-impact symposium themed “Leveraging Digital Health Innovations to Improve Care for HIV-Exposed Infants: From Research to Real-World Implementation.”The symposium brought together key national and international stakeholders and featured a presentation from the Ministry of Health on Tanzania’s national digital health strategies. Representing the EDCTP2-funded LIFE2Scale consortium, NIMR shared practical insights and implementation experiences from piloting the Unified Community System (UCS) laboratory module across Tanzanian healthcare settings.Preliminary results from the UCS pilot demonstrate promising potentials in reducing turnaround times for Early Infant Diagnosis (EID) and Viral Load (VL) test results which are crucial milestones in the timely care of HIV-exposed infants.The LIFE2Scale consortium is a multidisciplinary African-European partnership working closely with the Ministries of Health in Tanzania and Mozambique. Its mission is to accelerate sustainable, evidence-based innovations in child health from policy to practice.Through its participation, NIMR reaffirmed its commitment to driving research-led digital transformation in healthcare and strengthening national efforts to improve child survival and well-being. Section Title NIMR Highlights Digital Health Solutions for HIV-Exposed Infants at National Child Health Congress ByErick Mboma July 27, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) played a pivotal role in the 2nd Tanzania Child Health and Welfare Congress, held from 23rd – 25th July 2025 in Arusha, by spotlighting cutting-edge… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Aonyesha Dhamira ya Kuimarisha Utafiti wa Afya ByErick Mboma July 26, 2025 Uncategorized Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, leo tarehe 25 Julai 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Muhimbili… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Apongeza Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili Mabibo ByErick Mboma July 25, 2025 Uncategorized Mwenyekiti mpya wa Baraza la Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, amefurahishwa na kazi inayofanywa na Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili cha NIMR Mabibo katika… Read More NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara ByErick Mboma July 16, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeanza rasmi utekelezaji wa utafiti wa majaribio ya tiba ya kuharakisha kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa matende na mabusha. Hayo… Read More NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa ByErick Mboma July 1, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa ByErick Mboma June 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS)… Read More Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya ByErick Mboma June 27, 2025 Uncategorized Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Bw. Aretas Lyimo ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kuunga mkono mapambano… Read More NIMR Advocates for Broader One Health Strategy at Regional Health Conference in Juba ByErick Mboma June 26, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) has called for a bold expansion of the One Health approach to address both communicable and non communicable diseases (NCDs) in Africa during the… Read More Mkurugenzi Mkuu NIMR Atoa Wito wa Uadilifu kwa Watumishi wa Umma ByErick Mboma June 23, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, amewapongeza watumishi wa NIMR kwa kufanya kazi kwa bidii, weledi, uwajibikaji na uadilifu. Vilevile… Read More

NIMR Highlights Digital Health Solutions for HIV-Exposed Infants at National Child Health Congress Read More »

Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Aonyesha Dhamira ya Kuimarisha Utafiti wa Afya

Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, leo tarehe 25 Julai 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Muhimbili, akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Prof. Said Aboud.Katika ziara hiyo, Prof. Mdoe ametembelea Maabara Kuu ya Kifua Kikuu, ambayo inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Kituo cha NIMR Muhimbili na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukoma wa Wizara ya Afya. Maabara hiyo ni miongoni mwa nguzo muhimu katika mapambano dhidi ya kifua kikuu nchini na kanda ya Afrika. Alisisitiza kuwa mwelekeo wa uongozi wake ni kuona NIMR inazidi kung’ara kitaifa na kimataifa kupitia tafiti za afya zenye athari chanya kwa jamii. Baada ya kutembelea maabara, Prof. Mdoe alipata nafasi ya kuzungumza na watumishi wa kituo hicho ambapo aliwatia moyo kuongeza tija na ubunifu katika kazi zao za utafiti, akisisitiza umuhimu wa kufikia malengo ambayo Taasisi imejiwekea. Aliahidi kushirikiana kwa karibu na menejimenti ya Taasisi katika kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa.Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Prof. Said Aboud alimpongeza Prof. Mdoe kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wa Baraza la NIMR.Aidha aliwapongeza watumishi wa Kituo cha NIMR Muhimbili kwa mchango wao mkubwa katika kushiriki kutengeneza sera na miongozi ya tiba ya kifua kikuu na UKIMWI kitaifa na kimataifa kutokana na matokeo ya tafiti. Hata hivyo, aliwasihi kuongeza juhudi katika kuchapisha matokeo ya tafiti na kuandaa vijarida sera ili kuongeza ushahidi wa kisayansi kutoka katika kazi za utafiti wanazofanya. “Katika mwaka wa fedha 2024/25, tumefanikiwa kuchapisha machapisho 46 ya tafiti za afya katika majarida ya kitaifa, kikanda na kimataifa na vijarida sera 12 kutoka katika kituo cha NIMR Muhimbili. Hili ni jambo la kujivunia lakini bado tuna nafasi ya kufanya vizuri zaidi,” alisema Prof. Aboud.Ziara hiyo imeonesha dhamira ya dhati ya uongozi wa juu wa NIMR katika kuimarisha usimamizi, kuongeza uwajibikaji na kuendeleza utafiti wa afya unaolenga kuboresha maisha ya Watanzania. Section Title Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Aonyesha Dhamira ya Kuimarisha Utafiti wa Afya ByErick Mboma July 26, 2025 Uncategorized Mwenyekiti mpya wa Baraza la Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, amefurahishwa na kazi inayofanywa na Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili cha NIMR Mabibo katika… Read More Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Apongeza Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili Mabibo ByErick Mboma July 25, 2025 Uncategorized Mwenyekiti mpya wa Baraza la Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, amefurahishwa na kazi inayofanywa na Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili cha NIMR Mabibo katika… Read More NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara ByErick Mboma July 16, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeanza rasmi utekelezaji wa utafiti wa majaribio ya tiba ya kuharakisha kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa matende na mabusha. Hayo… Read More NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa ByErick Mboma July 1, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa ByErick Mboma June 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS)… Read More Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya ByErick Mboma June 27, 2025 Uncategorized Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Bw. Aretas Lyimo ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kuunga mkono mapambano… Read More NIMR Advocates for Broader One Health Strategy at Regional Health Conference in Juba ByErick Mboma June 26, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) has called for a bold expansion of the One Health approach to address both communicable and non communicable diseases (NCDs) in Africa during the… Read More Mkurugenzi Mkuu NIMR Atoa Wito wa Uadilifu kwa Watumishi wa Umma ByErick Mboma June 23, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, amewapongeza watumishi wa NIMR kwa kufanya kazi kwa bidii, weledi, uwajibikaji na uadilifu. Vilevile… Read More NIMR Yadhamiria Kuiboresha Tabora kuwa Kitovu cha Utafiti wa Afya Kanda ya Magharibi Mwa Tanzania ByErick Mboma June 22, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, tarehe 21 Juni 2025, amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Tabora, kwa lengo la… Read More

Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Aonyesha Dhamira ya Kuimarisha Utafiti wa Afya Read More »

Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Apongeza Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili Mabibo

Mwenyekiti mpya wa Baraza la Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. James Mdoe, amefurahishwa na kazi inayofanywa na Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili cha NIMR Mabibo katika kuendeleza tafiti za tiba mbadala kwa afya ya Watanzania.Pongezi hizo alizitoa tarehe 24 Juni, 2025 alipofanya ziara ya kikazi kituoni hapo. Prof. Mdoe alitembelea kituo hicho kwa ajili ya kujitambulisha na kuona maendeleo ya tafiti, ugunduzi na uzalishaji wa tiba asili.Akimkaribisha katika kituo, Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Prof. Said Aboud alimpongeza Prof. James Mdoe kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi na kumuahidi kumpa ushirikiano ili kufanikisha malengo ya Taasisi. Aliwasilisha taarifa ya kituo iliyoeleza mafanikio mbalimbali katika maeneo ya rasilimali watu, vitendea kazi, miundombinu ya majengo na maabara pamoja na maendeleo ya uzalishaji ya dawa za tiba asili. Akizungumza na watumishi wa kituo hicho, Mwenyekiti wa Baraza alielekeza Taasisi kuandaa mpango mkakati wa kutofautisha huduma na biashara, watafiti kuongeza machapisho ya tafiti, kusajili haki miliki, kuongeza ushirikiano na taasisi nyingine za tiba asili kama ITM na watumishi kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kufanikisha malengo ya Taasisi.Prof. Mdoe alisisitiza kuwa tiba asili ni hazina muhimu inayoweza kutoa suluhisho la changamoto nyingi za kiafya na akahimiza juhudi zaidi katika kukuza ubunifu na utafiti katika eneo hilo. Pia alishukuru kwa mapokezi mazuri na kuahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi katika kuhakikisha kituo kinapiga hatua zaidi. Section Title Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Apongeza Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili Mabibo ByErick Mboma July 25, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeanza rasmi utekelezaji wa utafiti wa majaribio ya tiba ya kuharakisha kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa matende na mabusha. Hayo… Read More NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara ByErick Mboma July 16, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeanza rasmi utekelezaji wa utafiti wa majaribio ya tiba ya kuharakisha kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa matende na mabusha. Hayo… Read More NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa ByErick Mboma July 1, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa ByErick Mboma June 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS)… Read More Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya ByErick Mboma June 27, 2025 Uncategorized Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Bw. Aretas Lyimo ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kuunga mkono mapambano… Read More NIMR Advocates for Broader One Health Strategy at Regional Health Conference in Juba ByErick Mboma June 26, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) has called for a bold expansion of the One Health approach to address both communicable and non communicable diseases (NCDs) in Africa during the… Read More Mkurugenzi Mkuu NIMR Atoa Wito wa Uadilifu kwa Watumishi wa Umma ByErick Mboma June 23, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, amewapongeza watumishi wa NIMR kwa kufanya kazi kwa bidii, weledi, uwajibikaji na uadilifu. Vilevile… Read More NIMR Yadhamiria Kuiboresha Tabora kuwa Kitovu cha Utafiti wa Afya Kanda ya Magharibi Mwa Tanzania ByErick Mboma June 22, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, tarehe 21 Juni 2025, amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Tabora, kwa lengo la… Read More Eswatini Delegation Commends NIMR Ethical Oversight in Health Research ByErick Mboma June 21, 2025 Uncategorized A delegation from the Eswatini Health and Human Research Review Board (EHHRB) has commended National Institute for Medical Research (NIMR) for its robust ethical review and approval systems in health… Read More

Mwenyekiti Mpya wa Baraza la NIMR Apongeza Kituo cha Utafiti wa Dawa za Tiba Asili Mabibo Read More »

NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeanza rasmi utekelezaji wa utafiti wa majaribio ya tiba ya kuharakisha kutokomeza maambukizi ya ugonjwa wa matende na mabusha. Hayo yamebainishwa wakati wa kuendesha mafunzo ya siku mbili ya kutekeleza utafiti kwa watafiti na watoa huduma wa afya kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara.Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, yalifunguliwa rasmi na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Mwinjuma M. Mkungu. Katika hotuba yake, aliipongeza NIMR kwa kuwa kinara wa tafiti za afya nchini na kwa kushirikiana kwa karibu na Wizara ya Afya katika kuandaa tafiti zenye lengo la kumaliza kabisa magonjwa yanayosumbua jamii, hususani yale yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (NTDs).“NIMR ni nguzo muhimu katika sekta ya afya kwa kuwa inatoa ushahidi wa kisayansi unaosaidia kupanga na kutekeleza afua bora. Mafunzo haya ni sehemu ya juhudi hizo,” alisema Mhe. Mkungu.Mafunzo hayo yamefuatiwa na kuanza kwa uchukuaji wa sampuli kwa washiriki wa utafiti katika kijiji cha Ruaha, kata ya Mnazi Mmoja, Wilaya ya Lindi. Utafiti huu wa kisayansi unalenga kulinganisha tiba tofauti za magonjwa ya matende na mabusha, hususani dawa ya “Doxycycline” na “Moxidectin + Albendazole”, dhidi ya Kingatiba iliyopo sasa ya “Ivermectin + Albendazole”.Mtafiti Mkuu wa mradi wa utafiti kutoka NIMR, Dkt. Akili Kalinga, alisema kuwa tafiti hizi zinalenga kutafuta tiba mbadala na bora zaidi ambazo zitaweza kuharakisha kutokomeza ugonjwa huo nchini. “Tumekuwa kwenye mapambano dhidi ya matende na mabusha kwa miaka mingi. Tunategemea kuwa utafiti huu utasaidia kuondoa kabisa vikwazo vinavyosababisha maambukizi ya Ugonjwa huu kuendelea katika baadhi ya maeneo.” alisema Dkt. Kalinga.Akizungumza wakati wa zoezi la uchukuaji wa sampuli, Mwenyekiti wa Kijiji cha Ruaha, Bi. Salima Kidamchong`we, alisema kuwa utafiti huo ni muhimu sana kwa jamii yao kwa sababu unawapa fursa ya kujua hali yao ya kiafya. “Tunatoa shukrani kwa NIMR na Wizara ya Afya kwa kutuletea utafiti huu. Ni jambo la maana na lenye manufaa kwa wananchi wetu,” alisema.Naye mmoja wa washiriki wa utafiti kutoka kijiji cha Ruaha kata ya Mnazi Mmoja, Bw. Ali Bakari Natulama, aliipongeza NIMR kwa juhudi zake na kusema kwamba tafiti kama hizi zinasaidia sana katika kuelimisha jamii na kuwakinga na magonjwa hatari kama matende na mabusha.Kwa sasa, ugonjwa wa matende na mabusha bado upo katika baadhi ya Halmashauri za wilaya nchini Tanzania ikiwemo Lindi Manispaa, Mtama, Mikindani, Kinondoni na Pangani. Licha ya mafanikio makubwa yaliyopatikana kwa Halmashauri 114 kutokomeza maambukizi ya Ugonjwa na kusitisha ugawaji wa kingatiba uliofanyika kwa miaka mingi.NIMR inatarajia kutumia matokeo ya utafiti huu kuboresha miongozo ya kitaifa na kidunia ya tiba na udhibiti wa magonjwa haya, kwa kushirikiana kwa karibu na Wizara ya Afya na wadau wengine. Section Title NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara ByErick Mboma July 16, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa ByErick Mboma July 1, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa ByErick Mboma June 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS)… Read More Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya ByErick Mboma June 27, 2025 Uncategorized Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Bw. Aretas Lyimo ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kuunga mkono mapambano… Read More NIMR Advocates for Broader One Health Strategy at Regional Health Conference in Juba ByErick Mboma June 26, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) has called for a bold expansion of the One Health approach to address both communicable and non communicable diseases (NCDs) in Africa during the… Read More Mkurugenzi Mkuu NIMR Atoa Wito wa Uadilifu kwa Watumishi wa Umma ByErick Mboma June 23, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, amewapongeza watumishi wa NIMR kwa kufanya kazi kwa bidii, weledi, uwajibikaji na uadilifu. Vilevile… Read More NIMR Yadhamiria Kuiboresha Tabora kuwa Kitovu cha Utafiti wa Afya Kanda ya Magharibi Mwa Tanzania ByErick Mboma June 22, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, tarehe 21 Juni 2025, amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Tabora, kwa lengo la… Read More Eswatini Delegation Commends NIMR Ethical Oversight in Health Research ByErick Mboma June 21, 2025 Uncategorized A delegation from the Eswatini Health and Human Research Review Board (EHHRB) has commended National Institute for Medical Research (NIMR) for its robust ethical review and approval systems in health… Read More NIMR Conducts Capacity Building Training on Knowledge Translation for Health Researchers ByErick Mboma June 21, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) successfully conducted a three-day training workshop on knowledge translation from 11th to 13th June 2025, at its Headquarters Sub-office in Dar es… Read More

NIMR Yaanza Utekelezaji wa Utafiti wa Majaribio ya Dawa Kutokomeza Maambukizi ya Ugonjwa wa Matende na Mabusha Lindi na Mtwara Read More »

NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa

aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa maendeleo kufadhili kazi za utafiti. Mafunzo hayo yalifanyika katika ofisi ndogo za NIMR, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 25 hadi 27 Juni 2025.Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo watafiti chipukizi katika kuandaa mapendekezo ya tafiti yanayoweza kushindana kwa ajili ya kupata ufadhili wa kitaifa na kimataifa sanjari na kuwaandaa kuwa viongozi wa baadaye wa tafiti zenye tija kwa jamii. Wakati huo huo, NIMR iliendesha Kambi ya Uandishi wa Makala za Kisayansi kwa watafiti 12, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa taasisi wa kuongeza mchango wa watafiti wake katika jamii ya wanasayansi kupitia uchapishaji wa tafiti bunifu kwenye majarida ya kitaifa na kimataifa.Hatua hizi ni mwendelezo wa juhudi za NIMR kuboresha uwezo wa rasilimali watu, kukuza ubora wa tafiti na kuimarisha nafasi ya Tanzania katika sekta ya sayansi na utafiti barani Afrika na duniani kote. Section Title NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa ByErick Mboma July 1, 2025 Uncategorized aasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha mafunzo maalumu kwa watafiti vijana 13 kuhusu namna ya kuandaa maandiko ya tafiti za afya kwa madhumuni ya kuvutia washirika wa… Read More NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa ByErick Mboma June 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS)… Read More Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya ByErick Mboma June 27, 2025 Uncategorized Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Bw. Aretas Lyimo ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kuunga mkono mapambano… Read More NIMR Advocates for Broader One Health Strategy at Regional Health Conference in Juba ByErick Mboma June 26, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) has called for a bold expansion of the One Health approach to address both communicable and non communicable diseases (NCDs) in Africa during the… Read More Mkurugenzi Mkuu NIMR Atoa Wito wa Uadilifu kwa Watumishi wa Umma ByErick Mboma June 23, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, amewapongeza watumishi wa NIMR kwa kufanya kazi kwa bidii, weledi, uwajibikaji na uadilifu. Vilevile… Read More NIMR Yadhamiria Kuiboresha Tabora kuwa Kitovu cha Utafiti wa Afya Kanda ya Magharibi Mwa Tanzania ByErick Mboma June 22, 2025 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Prof. Said Aboud, tarehe 21 Juni 2025, amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha Utafiti cha NIMR Tabora, kwa lengo la… Read More Eswatini Delegation Commends NIMR Ethical Oversight in Health Research ByErick Mboma June 21, 2025 Uncategorized A delegation from the Eswatini Health and Human Research Review Board (EHHRB) has commended National Institute for Medical Research (NIMR) for its robust ethical review and approval systems in health… Read More NIMR Conducts Capacity Building Training on Knowledge Translation for Health Researchers ByErick Mboma June 21, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) successfully conducted a three-day training workshop on knowledge translation from 11th to 13th June 2025, at its Headquarters Sub-office in Dar es… Read More Waziri Simbachawene Aipongeza NIMR kwa Kufanya Utafiti wa Afya Unaogusa Jamii ByErick Mboma June 19, 2025 Uncategorized Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene, ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa mchango wake… Read More

NIMR Yawanoa Watafiti Vijana Kuandika Maandiko ya Tafiti za Afya Yanayoweza Kushindana Kimataifa Read More »

NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa

The National Institute for Medical Research (NIMR) Amani Research Centre has completed a rigorous annual surveillance and inspection by the South African National Accreditation System (SANAS), reinforcing its position as a leading OECD Good Laboratory Practice (GLP) Accredited Testing Facility for vector control research and evaluation in Africa. The two-day inspection that was conducted from 26th to 27th June 2025, was led by SANAS Programme Manager Mr. Shedrack Phophi. The audit focused on evaluating the Centre’s compliance with OECD GLP principles, which govern the quality, integrity, and reliability of non-clinical health and environmental studies. The inspection outcome was highly positive, confirming NIMR Amani’s continued adherence to international standards. In 2023, the NIMR Amani Centre made history by becoming the first public testing facility in East Africa to receive OECD GLP accreditation and certification for research, development, and evaluation of novel vector control tools and products. The certification was granted by SANAS under Facility Compliance Number G0035. This milestone has enabled the Centre to support Phase I and II laboratory trials and Phase III community-based randomized controlled trials (RCTs) for major vector-borne disease interventions. The Centre has since become a trusted partner for industrial, pharmaceutical, and agrochemical companies seeking WHO pre-qualification for their products.Speaking after the inspection, Amani Centre Manager Dr. William Kisinza representing NIMR Director General expressed appreciation for the collaborative effort behind this achievement. “This successful inspection underscores our unwavering commitment to quality, scientific integrity, and global standards. We sincerely thank NIMR management for their support and our dedicated GLP team for their professionalism and hard work,” said Dr. Kisinza.The Amani Centre also extended its sincere appreciation to SANAS for organizing and conducting the surveillance inspection, and for providing valuable recommendations for continued improvement. The Centre’s accreditation enhances its capacity to generate high-quality, internationally accepted data on the efficacy of vector control products, contributing to public health advancements in Tanzania and beyond. As part of a growing network of certified facilities in Africa, NIMR Amani Centre continues to play a vital role in the fight against vector-borne diseases.This accomplishment reflects NIMR’s broader vision to become a continental leader in health research and innovation, delivering evidence-based solutions for Africa’s pressing health challenges.

NIMR Amani Centre Passes OECD GLP Surveillance Inspection, Reaffirms Position as Leading Public Test Facility in East Africa Read More »

Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Bw. Aretas Lyimo ameipongeza Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kuunga mkono mapambano dhidi ya madhara ya matumizi ya dawa za kulevya kwa kufanya tafiti zenye tija – kuibua kifua kikuu kwa waraibu wa dawa za kulevya. Kamishna Lyimo ametoa pongezi hizo leo katika kilele cha maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani alipotembelea banda la NIMR katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma ambapo ametoa cheti cha ushiriki kama mshirika muhimu katika kuunga mkono juhudi za kitaifa na kimataifa za kutokomeza janga la dawa za kulevya kupitia tafiti zenye tija. Katika maadhimisho hayo, NIMR imetoa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu kuhusu tafiti za afya na kuonesha shughuli zinazotekelezwa katika vituo vyake mbalimbali vya utafiti nchini. Aidha Mtafiti Mwandamizi Dkt. Lilian Tina Minja, akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa NIMR amesema katika utafiti walioufanya wamebaini changamoto za uibuaji wa kifua kikuu katika ngazi ya jamii kwa kupitia makundi rika ikiwa ni pamoja na uhamaji wa mara kwa mara wa waraibu wa dawa za kulevya, unyanyapaa na kujihusisha kwa waraibu wa dawa za kulevya na tabia hatarishi zinazochangia kuongeza maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu.Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Kassim aliyemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ambapo maadhimisho hayo yalibebwa na Kauli mbiu inayosema “Wekeza kwenye Kinga na Tiba Dhidi ya Dawa za Kulevya”.

Kamishna Jenerali wa DCEA Aipongeza NIMR kwa Kuunga Mkono Juhudi za Serikali za Kupiga Vita Dawa za Kulevya Read More »