Skip to content
Coat of arms of Tanzania

National Institute for Medical Research (NIMR)

Advancing Health Research, Enhancing Life

NIMR

Section Title

NIMR Kuchochea Mabadiliko ya Sera za Afya Kupitia Ushahidi wa Kisayansi

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendesha warsha ya kupitia vijarida sera (Policy Briefs) na kuviweka tayari kwa kuviwasilisha Wizara ya Afya, iliyoanza tarehe 17 Novemba...

NIMR Strategic Partnerships Recognised for Advancing Scientific Progress and Health Research

The National Institute for Medical Research (NIMR) has received an award from the Ifakara Health Institute (IHI) in recognition of its contribution to strengthening national and international...

Baraza la NIMR Lawataka Watumishi wa Kituo cha Mwanza Kuongeza Ubunifu Katika Tafiti

Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) limewataka watumishi wa Kituo cha NIMR Mwanza kuendelea kufanya tafiti zinazolenga kutatua changamoto za afya nchini, sambamba na...

NIMR Yasisitiza Kuimarisha Usimamizi wa Maadili ya Tafiti za Afya

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imesisitiza umuhimu wa kuimarisha usimamizi wa maadili ya tafiti za afya nchini kwa kuweka mfumo thabiti wa kitaifa wa ithibati kwa Bodi za...

NIMR Yawanoa Watumishi Wapya kuhusu Maadili, Uwajibikaji na Ubora wa Kazi

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imewataka watumishi wapya kuzingatia maadili ya utumishi wa umma, uwajibikaji, nidhamu na ubora wa kazi ili kuchangia kikamilifu katika...

Utafiti wa NIMR Waonesha Hakuna Maambukizi Mapya ya Usubi Eneo la Tukuyu

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) umeonesha kutorejea kwa maambukizi ya ugonjwa wa Usubi (Onchocerciasis) katika eneo la maambukizi la Tukuyu kwa kipindi...

NIMR Introduces ATSU Tanzania Project on Single-Use Medical Devices and Healthcare Waste

The National Institute for Medical Research (NIMR) has introduced the After the Single Use (ATSU) Tanzania Project, which aims to examine the use of single-use medical devices, particularly...

CONGRATULATIONS

The National Institute for Medical Research (NIMR) extends its heartfelt congratulations to Dr. Nyanda Elias Ntinginya on his selection as a 2026 Kofi Annan Fellow in Global Health Leadership...

NIMR Kituo cha Muhimbili Wajadili Utekelezaji wa Itifaki ya Utafiti wa Mradi wa DIMENSION

Watafiti wa Mradi wa DIMENSION kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Kituo cha Muhimbili, wamekutana na kujadili utekelezaji wa itifaki ya utafiti pamoja na kutembelea vituo...
Dira 2050