Skip to content
Coat of arms of Tanzania

National Institute for Medical Research (NIMR)

Advancing Health Research, Enhancing Life

NIMR

September 19, 2026

CONGRATULATIONS

The National Institute for Medical Research (NIMR) extends its heartfelt congratulations to Dr. Nyanda Elias Ntinginya on his selection as a 2026 Kofi Annan Fellow in Global Health Leadership. The Kofi Annan Fellowship in Global Health Leadership, implemented by Africa CDC in partnership with the Kofi Annan Foundation, is a distinguished continental leadership programme that equips senior public health professionals from African Union Member States with advanced competencies in strategic leadership, health diplomacy, policy influence, and health systems transformation to strengthen public health systems across Africa. Dr. Ntinginya’s selection reflects his professional excellence, leadership, and continued commitment to advancing public health research and strengthening health systems across the continent. We wish you every success throughout the fellowship programme. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

CONGRATULATIONS Read More »

NIMR Kituo cha Muhimbili Wajadili Utekelezaji wa Itifaki ya Utafiti wa Mradi wa DIMENSION

Watafiti wa Mradi wa DIMENSION kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Kituo cha Muhimbili, wamekutana na kujadili utekelezaji wa itifaki ya utafiti pamoja na kutembelea vituo vya afya vinavyotarajiwa kushiriki katika utafiti huo unaolenga kutumia ubunifu wa kidijitali kuimarisha huduma za afya ya akili kwa watu wanaoishi na VVU nchini Tanzania.Mradi wa DIMENSION unaotekelezwa na NIMR kwa kushirikiana na Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) pamoja na Chuo Kikuu cha Copenhagen, unachunguza namna suluhisho za kidijitali zinavyoweza kusaidia kusogeza huduma za afya ya akili karibu na watu wanaoishi na VVU nchini Tanzania.Kupitia utafiti huo, watafiti wanatazamia kujenga uwezo wa watoa huduma za afya na kubuni njia zinazoweza kusaidia kuboresha uchunguzi wa awali, utoaji wa elimu na huduma za afya ya akili, hususan katika mazingira yenye rasilimali chache.Aidha, mradi unalenga kuandaa zana ya kidijitali inayoweza kubadilishwa na kutumika katika mazingira mengine yenye mahitaji yanayofanana, hivyo kuongeza uwezekano wa matumizi ya matokeo ya utafiti katika maeneo mengine.Mkutano wa watafiti na ziara katika vituo vya afya ni sehemu ya maandalizi ya utekelezaji wa utafiti, ikiwemo kupitia itifaki ya utafiti na kutathmini mazingira ya vituo vitakavyohusika.Kwa ujumla, DIMENSION unaunganisha utafiti na ubunifu wa kidijitali katika kutafuta njia za kuimarisha utoaji wa huduma za afya ya akili ndani ya huduma zinazotolewa kwa watu wanaoishi na VVU. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

NIMR Kituo cha Muhimbili Wajadili Utekelezaji wa Itifaki ya Utafiti wa Mradi wa DIMENSION Read More »

Dira 2050