NIMR na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe Zasaini Hati ya Makubaliano Kushirikiana Katika Tafiti Nchini
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe (MNMH) leo tarehe 13/02/2026 zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha mashirikiano katika tafiti, mafunzo na matumizi ya teknolojia za kisasa katika utoaji wa huduma bora za afya ya akili nchini.Kupitia ushirikiano huu, taasisi hizo zitaongeza uwezo wa wataalamu wa afya ya akili kupitia mafunzo na tafiti shirikishi zitakazotoa ushahidi wa kisayansi kwa lengo la kuboresha sera, miongozo na utoaji wa huduma kwa kutumia teknolojia za kisasa ili kuongeza ufanisi na ubora kwa wananchi. Ushirikiano huo pia utahusisha utekelezaji wa pamoja wa miradi ya utafiti, kuandika machapisho ya kitaaluma, kuandaa vijarida sera na ushawishi katika kuboresha huduma kwa wananchi.Makubaliano haya yanakusudia kupanua wigo wa tafiti katika eneo la afya ya akili, kuunganisha utaalamu, matumizi ya rasilimali watu wenye ubobezi na uzoefu wa taasisi hizo, na kuhakikisha matokeo ya tafiti yanawafikia wananchi na kuleta mabadiliko chanya katika maisha yao.Hafla ya utiaji saini imefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya NIMR jijini Dodoma na kuongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Prof. Said Aboud, akiwa na Meneja wa Kituo cha NIMR Dodoma, Dk. Basiliana Emidi. Kwa upande wa MNMH, ujumbe uliongozwa na Dk. Innocent R. Mwombeki aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji, akiongozana na Veronica Haule na Anewa Saweni. Section Title NIMR na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe Zasaini Hati ya Makubaliano Kushirikiana Katika Tafiti Nchini ByErick Mboma February 13, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe (MNMH) leo tarehe 13/02/2026 zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha… Read More NIMR Yawanoa Watumishi wa Afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana Kuandika Maandiko ya Utafiti Kuboresha Huduma za Afya ByErick Mboma February 13, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kupitia Kituo cha Muhimbili, imewajengea uwezo watumishi wa afya 18 wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana (Amana RRH) katika uandishi wa… Read More WRAIR Delegation Visits NIMR–Mbeya Centre to Advance HIV Research Collaboration ByErick Mboma February 12, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research – Mbeya Medical Research Centre (NIMR-MMRC) on 10th February 2026 hosted a high-level delegation from Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR) in a… Read More Matokeo ya utafiti wa EPInA yaonesha kupungua kwa usubi na kifafa Mahenge ByErick Mboma February 7, 2026 Uncategorized Kiwango cha ugonjwa wa usubi kwa watu wenye kifafa katika eneo la Mahenge, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kimepungua hadi asilimia 22, huku maambukizi kwa ujumla yakipungua kwa takribani asilimia… Read More NIMR Emerges as a Global and Regional Leader in EDCTP-Supported Health Research ByErick Mboma January 12, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) in Tanzania, has been recognized as a leading contributor to internationally competitive health research following its strong performance in… Read More NIMR Yaongoza Mdahalo wa Sera Kuhakikisha Ushahidi wa Kisayansi Unatumika Kukabili Milipuko ya Magonjwa ByErick Mboma January 9, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) leo, tarehe 8 Januari 2026, imeendesha mkutano wa majadiliano ya sera uliowakutanisha watafiti, watunga sera, watoa maamuzi wa sekta ya afya… Read More NIMR Unveils Genomic Evidence Showing Predominance of Bacterial Pathogens in Acute Respiratory Infections in Tanzania ByErick Mboma December 24, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) disseminated on 22nd December 2025 research findings from the project titled Genomic characterization of Acute Respiratory Infections (ARI) Pathogens… Read More Beyond Clinical Surveillance: Wastewater and Environmental Monitoring Reveal Hotspots of Antimicrobial-Resistant “Superbugs” ByErick Mboma December 12, 2025 Uncategorized A recent study presented at the 7th Africa Continental World Antimicrobial Awareness Week (WAAW) event has unveiled the “environmental resistome” in Tanzania. Using advanced genomic tools to analyse… Read More NIMR Disseminates Impactful Research Findings at the 7th Africa Continental World AMR Awareness Week ByErick Mboma December 7, 2025 Uncategorized In a milestone event for the continent, Tanzania hosted the 7th Africa Continental World Antimicrobial Resistance (AMR) Awareness Week (WAAW) at the Hyatt Regency Hotel in Dar es Salaam from 2nd to… Read More Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

