Baraza Jipya la NIMR Lapatiwa Mafunzo ya Uongozi na Utawala Bora kwa Taasisi za Umma
Baraza jipya la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) limepatiwa mafunzo ya uongozi na utawala bora siku tatu kuanzia tarehe 6 hadi 8 Oktoba 2025 na Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute). Mafunzo hayo yameandaliwa kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 6 hadi 8 Oktoba 2025.Mafunzo haya yamelenga kuwaongezea wajumbe wa Baraza la Taasisi uelewa kuhusu majukumu yao katika kusimamia taasisi za umma kwa ufanisi, uwajibikaji na kwa kuzingatia misingi ya utawala bora na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. Maeneo muhimu ambayo washiriki pia walijifunza ni pamoja na mbinu za Kuimarisha ufanisi wa Baraza, utawala bora na utekelezaji wa majukumu ya Baraza ambapo walipata uelewa kuhusu dhana ya uongozi wenye matokeo na uhusiano kati ya Baraza na menejimenti. Aidha wamejifunza kuhusu mikakati madhubuti ya kudhibiti vihatarishi ndani ya taasisi, uelewa wa mambo ya rasilimali fedha, ukaguzi, manunuzi ya umma na usimamizi wa rasilimali za umma na kuweka msisitizo katika matumizi bora ya kimkakati na yenye tija kwa manufaa ya wananchi.Kupitia ushiriki wa NIMR, mafunzo haya yanatarajiwa kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Baraza likiwa na kazi muhimu ya kusimamia utekelezaji wa majukumu ya taasisi ili kuhakikisha matokeo ya tafiti yanachangia katika kuboresha sera, huduma za afya na ustawi wa jamii. Section Title Baraza Jipya la NIMR Lapatiwa Mafunzo ya Uongozi na Utawala Bora kwa Taasisi za Umma ByErick Mboma October 9, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) on 29th September 2025, launched a five-day research collaboration meeting at Mwanza Medical Research Centre, focusing on sharing research findings… Read More NIMR Strengthens Global Research Collaboration ByErick Mboma September 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) on 29th September 2025, launched a five-day research collaboration meeting at Mwanza Medical Research Centre, focusing on sharing research findings… Read More Wizara ya Afya Yazindua Baraza la Nimr Jipya ByErick Mboma September 28, 2025 Uncategorized Wizara ya Afya leo tarehe 26/09/2025 imezindua Baraza jipya la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), hatua muhimu inayolenga kuimarisha utafiti wa kisayansi, kukuza ubunifu na… Read More CARDIOVASCULAR DISEASE SYMPOSIUM ByErick Mboma September 24, 2025 Uncategorized Section Title CARDIOVASCULAR DISEASE SYMPOSIUM ByErick Mboma September 24, 2025 Uncategorized Section Title CARDIOVASCULAR DISEASE SYMPOSIUM ByErick Mboma September 24, 2025 Uncategorized Section… Read More NIMR Yapongezwa kwa Mchango Mkubwa Katika Kukuza Tiba Asili ByErick Mboma August 31, 2025 Uncategorized Wananchi wanaendelea kunufaika na huduma za tiba asili kupitia tafiti, na uanzishwaji wa kiwanda cha kuzalisha dawa za tiba asili cha NIMR Mabibo kufuatia juhudi kubwa za Serikali kuhakikisha dawa… Read More Tiba Asili Yazidi Kungโara: Tafiti Zaidi Zahitajika ByErick Mboma August 29, 2025 Uncategorized Imeelezwa kuwa kuna uhitaji mkubwa wa kuendeleza tafiti za tiba asili na kuwekeza zaidi katika viwanda vya kuzalisha dawa za tiba hizo nchini, ili kuongeza tija katika kuboresha huduma za afya kwa… Read More Tanzania to Learn on Traditional Medicine Sector from South Korea ByErick Mboma August 25, 2025 Uncategorized The Ministry of Health and the National Institute for Medical Research (NIMR) together with partner institutions embarked on a study visit to the National Institute for Korean Medicine Development… Read More Ministry of Health, NIMR Visits South Korea to Strengthen Innovation and Product Development in Traditional Medicine ByErick Mboma August 20, 2025 Uncategorized ๐ ๐ถ๐ป๐ถ๐๐๐ฟ๐ ๐ผ๐ณ ๐๐ฒ๐ฎ๐น๐๐ต, ๐ก๐๐ ๐ฅ ๐ฉ๐ถ๐๐ถ๐ ๐ฆ๐ผ๐๐๐ต ๐๐ผ๐ฟ๐ฒ๐ฎ ๐๐ผ ๐ฆ๐๐ฟ๐ฒ๐ป๐ด๐๐ต๐ฒ๐ป ๐๐ป๐ป๐ผ๐๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป ๐ฎ๐ป๐ฑ ๐ฃ๐ฟ๐ผ๐ฑ๐๐ฐ๐ ๐๐ฒ๐๐ฒ๐น๐ผ๐ฝ๐บ๐ฒ๐ป๐ ๐ถ๐ป ๐ง๐ฟ๐ฎ๐ฑ๐ถ๐๐ถ๐ผ๐ป๐ฎ๐น ๐ ๐ฒ๐ฑ๐ถ๐ฐ๐ถ๐ป๐ฒ The Director General of the National Institute for Medical Research (NIMR), Prof… Read More NIMR, Wizara ya Afya Watoa Mafunzo kwa Wataalamu wa Afya Kutumia Teknolojia ya Uchambuzi na Ufuatiliaji wa Vinasaba vya Magonjwa ya Mlipuko ByErick Mboma August 20, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa Kushirikiana na Wizara ya Afya, tarehe 18/08/2025 imeanza mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa maabara na watafiti kutoka taasisi… Read More Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.
Baraza Jipya la NIMR Lapatiwa Mafunzo ya Uongozi na Utawala Bora kwa Taasisi za Umma Read More ยป
