NIMR

Erick Mboma

NIMR Scientists Ranked Among Tanzania Top 50 by the AD Scientific Index 2026

The National Institute for Medical Research (NIMR) has once again demonstrated its leadership in scientific research with five of its distinguished scientists ranked among the Top 50 scientists in Tanzania by the AD Scientific Index 2026.This recognition highlights NIMR growing influence in advancing health research and generating evidence that informs policy and strengthens healthcare systems to reduce morbidity and mortality both nationally and globally. This also reflects the institute continued commitment to excellence, innovation and impactful research scientists.The research scientists recognized in this ranking are Prof. Sayoki Mfinanga (4th), Prof. Said Aboud (10th), Dr. Susan Rumisha (12th), Dr. William Kisinza (30th) and Dr. Bruno Mmbando (41st). The inclusion of these scientists reflects years of commitment, dedication, conduct of impactful research and significant contributions to the public health and scientific knowledge nationally and globally.Through the research work, NIMR address key health challenges in Tanzania and beyond including HIV/AIDS, tuberculosis, malaria, health data systems, zoonoses, NCDs, vector-borne diseases and others. The research conducted continues to inform policy, influence decision-making, and strengthen responses to both infectious and non-communicable diseases.The presence of five NIMR scientists in the Top 50 is not only an individual achievement but also a strong reflection of the institution role as a centre of scientific excellence and a trusted partner in global health research.NIMR congratulates the five scientists for their outstanding performance and continued commitment to enhancing lives through advancing health research. The institute also congratulates all other NIMR researchers who have appeared in the ranking of AD Scientific Index 2026. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

NIMR Scientists Ranked Among Tanzania Top 50 by the AD Scientific Index 2026 Read More »

Decade-Long Research Led by NIMR Shapes Africa’s Push for Integrated HIV and NCD Care

New evidence from a decade of research led by Tanzania’s National Institute for Medical Research (NIMR) on integrated HIV and non-communicable disease (NCD) care is driving renewed efforts across Africa to reform health systems, as leaders prepare for the launch of the SPARK-NCD initiative to strengthen data and service integration.Speaking at the high-level dissemination of integrated HIV and NCD evidence, Zanzibar Second Vice President, Suleiman Hemed Abdulla, representing Dr Hussein Ali Mwinyi, President of the Zanzibar Revolutionary Government and Chairman of the Revolutionary Council, called for stronger collaboration among health experts to improve healthcare outcomes across Africa.He noted that people living with HIV are increasingly affected by non-communicable diseases such as cardiovascular conditions, diabetes, cancer and mental health disorders, underscoring the need for more coordinated care, while emphasizing the importance of research in guiding effective service delivery.He also commended the efforts of both the Government of the United Republic of Tanzania and the Zanzibar Revolutionary Government in tackling HIV and non-communicable diseases.Evidence from studies led by NIMR, including the INTE-COMM trial in Tanzania and Uganda, shows that integrated, community-based care can expand access to treatment while maintaining outcomes comparable to facility-based services.The findings further show that bringing services closer to communities reduces transport costs, waiting times and stigma, while easing pressure on health facilities and informing policy discussions across Africa on integrated HIV and NCD services.Representing the Chief Medical Officer from the Ministry of Health Tanzania, NIMR Director General Prof. Said Aboud said the initiative aims to ensure research findings translate into tangible benefits for communities.“Integrated service delivery allows patients with multiple conditions to receive care more efficiently, reducing hospital visits and healthcare costs, while also contributing to reduced deaths and the growing burden of HIV and non-communicable diseases, particularly among vulnerable populations,” he said.The SPARK-NCD initiative, led by Africa CDC, seeks to strengthen disease surveillance and support data-driven decision-making across African countries. Discussions also emphasized the need to improve NCD surveillance, integrate services, and strengthen Africa-led, data-driven health solutions.The two-day continental meeting, held from March 27–28, 2026, at the Golden Tulip Hotel in Zanzibar brought together Ministers of Health, policymakers, researchers and development partners from across Africa.With growing political commitment and locally generated evidence from institutions such as NIMR, experts say that integrating HIV and NCD services could transform healthcare systems across Africa, improving access, reducing costs and saving lives. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

Decade-Long Research Led by NIMR Shapes Africa’s Push for Integrated HIV and NCD Care Read More »

Watumishi NIMR Wapatiwa Mafunzo ya Maadili ya Utumishi wa Umma, Rushwa Mahali pa Kazi na Afya ya Akili

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendelea kuonesha dhamira yake ya kujenga watumishi wenye weledi, uadilifu, uwajibikaji na afya njema kwa kuendesha mafunzo maalumu yanayolenga kuimarisha maadili ya utumishi wa umma, mapambano dhidi ya rushwa mahali pa kazi na kuhamasisha umuhimu wa afya ya akili.Mafunzo hayo yamefanyika tarehe 18 Machi 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, yakiendeshwa na wawezeshaji kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) pamoja na Taasisi ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe.Akifungua mafunzo hayo, Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Prof. Said Aboud amesema kuwa mafunzo hayo ni sehemu ya utekelezaji wa mikakati ya Serikali ya kuimarisha utawala bora kupitia watumishi wa umma wanaozingatia maadili, sheria, kanuni na taratibu za kazi. Alisisitiza kuwa maadili ya utumishi wa umma ni msingi muhimu katika kujenga taasisi imara, yenye kuaminika na inayotoa huduma bora kwa wananchi.Prof. Aboud ameeleza kuwa NIMR inaongozwa na misingi mikuu mitano ya uendeshaji ambayo ni uadilifu, ujumuishwaji, ubora, uwajibikaji na uwazi, na kwamba mafunzo hayo yanalengs kuimarisha utekelezaji wa misingi hiyo katika kazi za kila siku za watumishi.Prof. Aboud amesema mafunzo hayo pia yataweka misingi ya maadili kwa watumishi wa umma na kujenga uzalendo kama njia mojawapo ya kuondoa vitendo vya rushwa mahali pa kazi.Sambamba na hilo, mtaalamu kutoka Taasisi ya Mirembe ametoa elimu kuhusu afya ya akili, akisisitiza kuwa ustawi wa akili ni nyenzo muhimu katika kuongeza tija na ufanisi kazini. Alieleza kuwa mtumishi mwenye afya njema ya akili huwa na uwezo mkubwa wa kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuhimili changamoto za kikazi.Aidha, menejimenti ya NIMR imeisitiza kuwa itaendelea kujenga mazingira ya kazi yanayozingatia maadili, yasiyovumilia vitendo vya rushwa na yanayojali ustawi wa watumishi wote. Mafunzo hayo ya siku moja yaliyohudhuriwa na Menejimenti na watumishi wa NIMR kutoka makao makuu Dodoma na vituo vya utafiti yanatarajiwa kuwa na mchango mkubwa katika kuimarisha utendaji kazi wa watumishi wa NIMR na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa jamii, sambamba na kuchangia juhudi za Serikali za kujenga utumishi wa umma wenye maadili na uwajibikaji. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

Watumishi NIMR Wapatiwa Mafunzo ya Maadili ya Utumishi wa Umma, Rushwa Mahali pa Kazi na Afya ya Akili Read More »

NIMR Researchers Shine with DZIF Early Career Scientists Grant

Researchers from the National Institute for Medical Research (NIMR), Mbeya Centre, have earned international recognition after five early career scientists were awarded the prestigious Deutsches Zentrum für Infektionsforschung (DZiF) Early Career Scientists Grant 2026 The grant is awarded annually by the DZIF Academy through its Short-term Training Program, which aims to strengthen scientific skills, support career development, and promote collaboration between Tanzanian researchers and their German counterparts within the DZIF network.The program is co-led by Dr. Nyanda Ntinginya and Dr. Bariki Mtafya, and is designed to equip early career scientists with essential research skills through mentorship, targeted training, and opportunities for scientific collaboration.The five NIMR researchers selected for the 2026 grant are Dr Lucy Elauteri Mrema, Dr Julieth Lalashowi, Dr Daniel Mapamba, Jacklina Mhidze, and Willyhelmina Olomi. Their research addresses critical health priorities, including the intersection of non-communicable and infectious diseases, tuberculosis-related complications, HIV/TB immunology, and infectious disease modelling.Through this support, the selected researchers will benefit from enhanced training and exposure, particularly in the field of infectious diseases, contributing to the strengthening of Africa’s research capacity and nurturing the next generation of scientific leaders.This achievement marks an important milestone in reinforcing the long-standing collaboration between Tanzania and Germany in health research, while highlighting NIMR’s commitment to advancing scientific excellence and innovation. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

NIMR Researchers Shine with DZIF Early Career Scientists Grant Read More »

NIMR Yasisitiza Tafiti Zinazotatua Changamoto za Afya Katika Maandalizi ya Bajeti ya 2026/2027

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Profesa Said Aboud, ameitaka taasisi hiyo kuimarisha uwezo wake wa kifedha na kuwekeza katika tafiti zinazolenga kutatua changamoto za afya nchini, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi.Akizungumza wakati wa kufunga kikao kazi cha maandalizi ya mpango na bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 kilichofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 11 Machi 2026 katika Hoteli ya Edema mjini Morogoro, Profesa Aboud alipongeza ushiriki mkubwa wa wataalamu wa bajeti kutoka kurugenzi, vitengo na vituo mbalimbali vya taasisi.“Kikao kazi hiki kimeonesha kwa vitendo dhana ya ushirikishwaji wa wadau muhimu katika mchakato wa maandalizi ya bajeti, huku kikizingatia miongozo ya serikali katika upangaji wa mipango na matumizi ya rasilimali za taasisi,” alisema.Aliwataka washiriki kuhakikisha kuwa katika kupanga bajeti wanatanguliza vipaumbele vya taasisi kwa kutenga rasilimali za kutosha katika maeneo muhimu yatakayochangia kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi.Aidha, alisisitiza umuhimu wa kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuiwezesha taasisi kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi zaidi. Alieleza kuwa ni wakati muafaka kwa taasisi kuangalia namna ya kufanya tafiti zinazolenga kutatua changamoto za afya nchini kupitia vyanzo vyake vya mapato ya ndani na kupunguza utegemezi.Alielekeza timu inayohusika na mipango na bajeti kuangalia uwezekano wa kutenga fedha za awali za tafiti (research seed fund) ili kuwasaidia hasa watafiti wachanga kuanzisha tafiti zitakazochangia maendeleo ya sekta ya afya nchini. Ametoa wito pia kwa taasisi kuanzisha mfuko wa fedha wa kuwezesha kufanya tafiti za afya (Research endowment fund).Vilevile, alisisitiza umuhimu wa kuendelea kuboresha ustawi wa watumishi, akiiagiza timu hiyo kuangalia uwezekano wa kutekeleza kipengele cha posho ya chakula kwa watumishi kwa mujibu wa mpango wa motisha ambapo kwa sasa hulipwa nauli pekee wakati wa shughuli rasmi za kikazi.Kikao kazi hicho kiliwakutanisha maafisa bajeti kutoka vituo, kurugenzi na vitengo mbalimbali vya NIMR kwa lengo la kuandaa mpango na bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 kwa kuzingatia vipaumbele vya Serikali na taasisi. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

NIMR Yasisitiza Tafiti Zinazotatua Changamoto za Afya Katika Maandalizi ya Bajeti ya 2026/2027 Read More »

Mkurugenzi Mkuu NIMR Aridhishwa na Maendeleo ya Utafiti na Huduma Kituo Kidogo cha Gonja.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Profesa Said S. Aboud, ameridhishwa na maendeleo ya shughuli za utafiti na utoaji wa huduma za maabara yanayoendelea katika Kituo kidogo cha NIMR Gonja kufuatia ziara yake ya kikazi iliyofanyika tarehe 25 Februari 2026.Ziara hiyo ni sehemu ya utaratibu wa kawaida wa uongozi wa Taasisi kutembelea vituo vyake nchini kwa lengo la kufuatilia utendaji kazi, maendeleo ya miundombinu pamoja na mchango wa tafiti katika kuboresha huduma za afya kwa jamii.Akiwa kituoni hapo, Prof. Aboud alikagua ukarabati wa majengo uliofanyika, maendeleo ya kitengo cha upimaji wa magonjwa mbalimbali kinachotumika katika tafiti pamoja na mifumo ya utunzaji na usimamizi wa takwimu zinazozalishwa katika maabara. Alielezwa kuwa maboresho hayo yamelenga kuongeza ubora wa huduma za uchunguzi wa magonjwa na kuimarisha mazingira ya kufanyia tafiti.Akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu kuzungumza na watumishi, Mkuu wa Kituo cha NIMR Gonja, Ndugu Said Frank Magogo, alimshukuru Prof. Aboud kwa kuendelea kukipa kituo hicho ushauri wa kitaalamu, kuwapatia rasilimali watu, mashine za hematolojia na chemia hai pamoja na vitendanishi zilizochangia kuimarika kwa utekelezaji wa majukumu ya msingi ya kituo katika kufanya tafiti na kutoa huduma kwa wananchi.Akizungumza na wafanyakazi, Prof. Aboud aliwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii na kujituma katika utekelezaji wa majukumu yao, akieleza kuridhishwa kwake na maendeleo yaliyofikiwa hususan katika utoaji wa huduma za maabara kwa jamii pamoja na matumizi ya takwimu za tafiti katika kubaini maeneo mapya ya utafiti yanayolenga kutatua changamoto za afya nchini.Alisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha matumizi sahihi ya takwimu zinazozalishwa kupitia tafiti ili kuongeza ushahidi wa kisayansi utakaosaidia kupanga na kuboresha afua za afya kwa Watanzania.Ziara ya Mkurugenzi Mkuu katika Kituo cha NIMR Gonja ni sehemu ya juhudi za Taasisi za kuhakikisha vituo vyake vyote vinaendelea kuimarisha ubora wa tafiti, kuongeza ufanisi wa huduma za uchunguzi wa magonjwa na kutoa mchango endelevu katika maendeleo ya sekta ya afya nchini. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

Mkurugenzi Mkuu NIMR Aridhishwa na Maendeleo ya Utafiti na Huduma Kituo Kidogo cha Gonja. Read More »

Wanawake wa NIMR Mbeya Waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa Matendo ya Huruma na Elimu ya Uwiano wa Majukumu ya Kazi na Familia.

Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, tarehe 08 Machi, wanawake wa Taasisi ya Taifa ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Kituo cha Mbeya walionyesha mshikamano na kujitolea kwa jamii kupitia shughuli mbalimbali za kijamii, matendo ya huruma, na utoaji wa elimu, wakilenga kuimarisha ustawi wa wanawake na makundi yenye uhitaji maalumu. Maadhimisho haya mwaka huu yalibeba kaulimbiu isemayo: “Haki ya Mwanamke na Wasichana, Msingi wa Maendeleo Jumuishi Kufikia Dira 2050.”Maadhimisho hayo yalianza kwa ziara ya kipekee katika kituo cha watoto yatima cha Mountain Glory, kilichopo Pambogo, kata ya Iyela. Watumishi wa NIMR Mbeya walitoa msaada wa vyakula, nguo, na mashine ya kufulia nguo, ili kusaidia kuboresha maisha ya kila siku ya watoto waliokuwa katika kituo hicho.Pia, wanawake hao walitembelea Kituo cha Afya Ruanda kilichopo jijini Mbeya, ambapo walikabidhi mashuka kwa ajili ya wodi ya wazazi. Msaada huo unatarajiwa kuboresha huduma na mazingira ya wagonjwa, hususan akina mama wanaojifungua katika kituo hicho.Siku ya kilele ilijaa elimu na mafunzo. Madaktari na watafiti wa NIMR Mbeya walitoa elimu kwa wanawake kutoka taasisi mbalimbali kuhusu umuhimu wa tafiti za afya na nafasi ya wanawake kushiriki kikamilifu katika tafiti hizo. Lengo lilikuwa kuongeza uelewa na kuhamasisha wanawake kuwa sehemu ya maendeleo ya sayansi na afya katika jamii.Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo, Dkt. Betrece Ngaraguza aliwafundisha wanawake namna ya kuweka uwiano kati ya majukumu ya kazi, familia, na jamii bila kuathiri afya zao. Alisisitiza kuwa kupanga majukumu kwa uangalifu ni muhimu kulinda afya za kimwili na kiakili.Kwa upande wake, Dkt. Lucy Mrema alitoa mada kuhusu uhusiano kati ya biolojia ya mwanamke na maisha ya kisasa, akisisitiza jinsi maarifa haya yanavyosaidia wanawake kupanga kwa ufanisi kazi, maisha binafsi na familia huku wakihakikisha afya zao zinadumishwa.Naye mlezi wa wanawake wa NIMR Mbeya, Bi. Mwanaharabu Gwato, alisema shughuli hizi ni sehemu ya utamaduni uliojengeka miongoni mwa wanawake wa taasisi hiyo. Alibainisha kuwa wanawake wa NIMR Mbeya wamekuwa na desturi ya kuangalia na kusaidia jamii zenye uhitaji maalumu kama njia ya kurejesha mchango kwa jamii.Maadhimisho haya yamethibitisha kuwa wanawake si tu nguvu kazi katika utafiti na maendeleo ya afya, bali pia ni nguzo muhimu katika kuimarisha ustawi wa jamii kupitia elimu, huduma, na mshikamano. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

Wanawake wa NIMR Mbeya Waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa Matendo ya Huruma na Elimu ya Uwiano wa Majukumu ya Kazi na Familia. Read More »

Wanawake wa NIMR Waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa Kuwasaidia Watoto Yatima.

Katika kusheherekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, wanawake wa Kituo cha Utafiti cha NIMR Tanga wameadhimisha siku hiyo kwa kutembelea Kituo cha Watoto Yatima cha FURAHA, kilichopo Raskazone, jijini Tanga, na kutoa msaada wa mahitaji muhimu kama unga, mchele, mafuta, sabuni za kufulia na za kuogea. Baada ya kukabidhi vitu hivyo, watoto hao walionyesha furaha na shukurani zao kupitia nyimbo na michezo mbalimbali.Maadhimisho haya hufanyika kila tarehe 08 Machi. Mwaka huu, yalikuwa na kaulimbiu isemayo: “Haki ya Mwanamke na Wasichana, Msingi wa Maendeleo Jumuishi Kufikia Dira 2050.”Akizungumza kwenye tukio hilo kwa niaba ya wanawake wa NIMR Tanga, Dr. Veneranda Bwana alisema ni desturi ya wanawake wa NIMR kushiriki katika masuala ya jamii, na akasisitiza kwamba kila siku ni fursa ya kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya wengine. “Siku ya Wanawake Duniani ni fursa ya kusherehekea wanawake, lakini pia ni wakati wa kuonyesha mshikamano na wale walioko kwenye hali ngumu,” alisisitiza Dr. Bwana.Msimamizi wa kituo hicho aliwashukuru wanawake wa NIMR Tanga kwa msaada huo na akakaribisha wadau mbalimbali kuendeleza jitihada za kutoa misaada, akibainisha kwamba watoto hao wanahitaji msaada ili kuendeleza maisha yao. Section Title Mkurugenzi Mkuu NIMR Aridhishwa na Maendeleo ya Utafiti na Huduma Kituo Kidogo cha Gonja. ByErick Mboma March 10, 2026 Uncategorized Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Profesa Said S. Aboud, ameridhishwa na maendeleo ya shughuli za utafiti na utoaji wa huduma za maabara yanayoendelea… Read More Wanawake wa NIMR Mbeya Waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa Matendo ya Huruma na Elimu ya Uwiano wa Majukumu ya Kazi na Familia. ByErick Mboma March 9, 2026 Uncategorized Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, tarehe 08 Machi, wanawake wa Taasisi ya Taifa ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Kituo cha Mbeya walionyesha mshikamano na kujitolea kwa jamii… Read More Wanawake wa NIMR Waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa Kuwasaidia Watoto Yatima. ByErick Mboma March 9, 2026 Uncategorized Katika kusheherekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, wanawake wa Kituo cha Utafiti cha NIMR Tanga wameadhimisha siku hiyo kwa kutembelea Kituo cha Watoto Yatima cha FURAHA, kilichopo Raskazone… Read More NIMR Yatoa Matokeo ya Utafiti Kuonyesha Mwelekeo Mpya wa Kujenga Ustahimilivu Dhidi ya Magonjwa ya Mlipuko Yanayosababishwa na Wadudu Dhurifu ByErick Mboma March 1, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), tarehe 26 Februari 2026, kupitia mradi wa RAFT (Resilience Against Future Threats through Vector Control), imewasilisha matokeo ya utafiti… Read More NIMR Director General Strengthens Research Direction at Tanga Centre to Address National Health Priorities ByErick Mboma February 26, 2026 Uncategorized The Tanga Medical Research Centre had the honor of hosting Professor Said Aboud, the Director General of the National Institute for Medical Research (NIMR), on 24th February 2026, during an official… Read More NIMR and EAHRC Launch Landmark National Workshop on Evidence-Based Healthcare ByErick Mboma February 21, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) in collaboration with the East African Health Research Commission (EAHRC), have launched the 1st National Workshops on Ethics and Clinical Research… Read More NIMR Yazindua Utafiti wa Utoaji wa Dawa ya Kichocho kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano Kupitia Mradi wa STEPPES ByErick Mboma February 19, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kupitia Mradi wa STEPPS (Strengthening Health System Capacity for Access and Delivery of Paediatric Praziquantel for Schistosomiasis in… Read More NIMR na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe Zasaini Hati ya Makubaliano Kushirikiana Katika Tafiti Nchini ByErick Mboma February 13, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe (MNMH) leo tarehe 13/02/2026 zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha… Read More NIMR Yawanoa Watumishi wa Afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana Kuandika Maandiko ya Utafiti Kuboresha Huduma za Afya ByErick Mboma February 13, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kupitia Kituo cha Muhimbili, imewajengea uwezo watumishi wa afya 18 wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana (Amana RRH) katika uandishi wa… Read More Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

Wanawake wa NIMR Waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa Kuwasaidia Watoto Yatima. Read More »

NIMR Yatoa Matokeo ya Utafiti Kuonyesha Mwelekeo Mpya wa Kujenga Ustahimilivu Dhidi ya Magonjwa ya Mlipuko Yanayosababishwa na Wadudu Dhurifu

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), tarehe 26 Februari 2026, kupitia mradi wa RAFT (Resilience Against Future Threats through Vector Control), imewasilisha matokeo ya utafiti kuhusu magonjwa ya mlipuko yanayoenezwa na mbu pamoja na usugu wa mbu dhidi ya viuatilifu, hatua inayolenga kuimarisha ustahimilivu wa taifa katika kukabiliana na vitisho vya magonjwa hayo.Akifungua kikao hicho kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Tafiti, Dkt. Nyanda Elias Ntinginya, amesema Tanzania inahitaji kuimarisha mifumo yake ya ufuatiliaji na maandalizi ili kukabiliana kwa ufanisi na ongezeko la vitisho vya magonjwa yanayoenezwa na mbu.Amesisitiza kuwa tafiti za kisayansi zinapaswa kuwa msingi wa maamuzi ya kisera, hasa katika kipindi hiki ambacho mabadiliko ya mazingira, ukuaji wa miji na ongezeko la mwingiliano wa watu vinaongeza hatari ya milipuko ya magonjwa kama dengue na magonjwa mengine ya virusi yanayoenezwa na mbu.Kwa upande wake, Mtafiti Kiongozi wa Mradi wa RAFT, Dkt. Alphaxard Manjurano, amesema lengo la mkutano huo lilikuwa kuwasilisha matokeo muhimu kuhusu usugu wa mbu dhidi ya viuatilifu na vitisho vya magonjwa ya mlipuko yanayoenezwa na mbu, pamoja na kuyajadili kwa kina na wadau wakuu wa udhibiti wa wadudu dhurifu nchini.Akiwasilisha matokeo ya tathmini ya kitaifa ya utayari wa mfumo wa afya kukabiliana na vitisho vya mbu, Dkt. Manjurano alibainisha kuwa licha ya kuwepo kwa vituo 34 vya ufuatiliaji wa malaria (sentinel sites), bado kuna haja ya kuanzisha programu mahsusi ya kitaifa ya ufuatiliaji wa kawaida wa mbu wanaoeneza magonjwa.“Kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 2024, ufuatiliaji wa mbu wa kuanzia hatua za mabuu hadi mbu waliokomaa haujawahi kufanyika kwa mfumo wa kitaifa. Hii inaonesha umuhimu wa kuimarisha mfumo wa utambuzi wa mapema wa hatari za milipuko ya magonjwa ya yanayoenezwa na wadudu,” alisisitiza Dkt. Manjurano.Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya kupitia Programu ya Taifa ya Udhibiti wa Malaria, Bw. Winfred Mwafongo, amesema matokeo hayo yatasaidia kuboresha sera na miongozo ya kukabiliana na malaria na magonjwa mengine yanayoenezwa na wadudu.Naye Mwakilishi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Jovin Kitau, ameipongeza NIMR kwa kufanya utafiti huo, akisema utachangia kuimarisha kinga ya jamii dhidi ya magonjwa yanayoenezwa na wadudu na kuongeza usalama wa afya ya umma.Aidha, Mtafiti Mkuu kutoka NIMR, Dkt. William Kisinza, amesema katika majadiliano ya kikao hicho wadau wamependekeza kuimarishwa kwa programu maalumu inayosimamia masuala ya wadudu dhurifu ili kuongeza ufanisi wa udhibiti wa magonjwa yanayoenezwa na wadudu.Kwa upande wake, Bi. Jackeline Martin, Mtafiti kutoka NIMR aliyefanya utafiti kuhusu ufanisi wa viuatilifu vilivyopo kwenye vyandarua, amesema matokeo yanaonesha ongezeko la usugu wa mbu dhidi ya viuatilifu hivyo, jambo linaloonesha umuhimu wa kuendelea kuboresha mikakati ya udhibiti ili kuhakikisha vyandarua vinaendelea kuwa na ufanisi.Mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam, uliwakutanisha wadau mbalimbali wa udhibiti wa wadudu dhurifu kutoka Wizara ya Afya, NIMR, Shirika la Afya Duniani (WHO), Taasisi ya Afya ya Ifakara, pamoja na wadau wengine wa sekta ya afya. Section Title NIMR Yatoa Matokeo ya Utafiti Kuonyesha Mwelekeo Mpya wa Kujenga Ustahimilivu Dhidi ya Magonjwa ya Mlipuko Yanayosababishwa na Wadudu Dhurifu ByErick Mboma March 1, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), tarehe 26 Februari 2026, kupitia mradi wa RAFT (Resilience Against Future Threats through Vector Control), imewasilisha matokeo ya utafiti… Read More NIMR Director General Strengthens Research Direction at Tanga Centre to Address National Health Priorities ByErick Mboma February 26, 2026 Uncategorized The Tanga Medical Research Centre had the honor of hosting Professor Said Aboud, the Director General of the National Institute for Medical Research (NIMR), on 24th February 2026, during an official… Read More NIMR and EAHRC Launch Landmark National Workshop on Evidence-Based Healthcare ByErick Mboma February 21, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) in collaboration with the East African Health Research Commission (EAHRC), have launched the 1st National Workshops on Ethics and Clinical Research… Read More NIMR Yazindua Utafiti wa Utoaji wa Dawa ya Kichocho kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano Kupitia Mradi wa STEPPES ByErick Mboma February 19, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kupitia Mradi wa STEPPS (Strengthening Health System Capacity for Access and Delivery of Paediatric Praziquantel for Schistosomiasis in… Read More NIMR na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe Zasaini Hati ya Makubaliano Kushirikiana Katika Tafiti Nchini ByErick Mboma February 13, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe (MNMH) leo tarehe 13/02/2026 zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha… Read More NIMR Yawanoa Watumishi wa Afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana Kuandika Maandiko ya Utafiti Kuboresha Huduma za Afya ByErick Mboma February 13, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kupitia Kituo cha Muhimbili, imewajengea uwezo watumishi wa afya 18 wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana (Amana RRH) katika uandishi wa… Read More WRAIR Delegation Visits NIMR–Mbeya Centre to Advance HIV Research Collaboration ByErick Mboma February 12, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research – Mbeya Medical Research Centre (NIMR-MMRC) on 10th February 2026 hosted a high-level delegation from Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR) in a… Read More Matokeo ya utafiti wa EPInA yaonesha kupungua kwa usubi na kifafa Mahenge ByErick Mboma February 7, 2026 Uncategorized Kiwango cha ugonjwa wa usubi kwa watu wenye kifafa katika eneo la Mahenge, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kimepungua hadi asilimia 22, huku maambukizi kwa ujumla yakipungua kwa takribani asilimia… Read More NIMR Emerges as a Global and Regional Leader in EDCTP-Supported Health Research ByErick Mboma January 12, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) in Tanzania, has been recognized as a leading contributor to internationally competitive health research following its strong performance in… Read More Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

NIMR Yatoa Matokeo ya Utafiti Kuonyesha Mwelekeo Mpya wa Kujenga Ustahimilivu Dhidi ya Magonjwa ya Mlipuko Yanayosababishwa na Wadudu Dhurifu Read More »

NIMR Director General Strengthens Research Direction at Tanga Centre to Address National Health Priorities

The Tanga Medical Research Centre had the honor of hosting Professor Said Aboud, the Director General of the National Institute for Medical Research (NIMR), on 24th February 2026, during an official working visit aimed at strengthening research direction and institutional collaboration. As one of NIMR’s leading hubs for clinical trials and biomedical research, the Centre continues to play a pivotal role in addressing neglected tropical diseases and other national health priorities.Ongoing projects include malaria, emerging arboviral infections, Mpox, antimicrobial resistance (AMR), and neglected tropical diseases (NTDs) such as onchocerciasis, lymphatic filariasis, Buruli ulcer, and epilepsy. The Centre is also pioneering evidence on the intersection of climate change and health.During his visit, the Director General engaged with discussion on ongoing projects, sharing invaluable insights to refine strategies and ensure alignment with the NIMR strategic plan and national health research priorities. His visit underscored the Tanga Centre’s critical role in tackling the most pressing health challenges facing local communities.He emphasized the importance of strengthening partnerships among NIMR centres, local and international partners and community stakeholders to enhance health systems. “Research should address local needs and priorities head on,” he stated, particularly regarding non-communicable diseases and NTDs. The Director General also urged researchers to avoid working in “silos” and to leverage networks, partnerships and collaborations to navigate today’s uncertain and dynamic landscape.The Director General encouraged staff to uphold work ethics, rules, regulations and professional standards, emphasizing that maintaining integrity is key to driving shared success and sustained excellence.The NIMR Tanga management and staff expressed their gratitude for the visit, noting that it inspired them to continue executing their duties with professionalism, dedication, and innovation. They emphasized that the Director General presence demonstrates NIMR management commitment to supporting and strengthening research activities across all its centres, while pledging to continue producing high-quality research findings that inform evidence-based health policies and services in Tanzania. Section Title NIMR Director General Strengthens Research Direction at Tanga Centre to Address National Health Priorities ByErick Mboma February 26, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) in collaboration with the East African Health Research Commission (EAHRC), have launched the 1st National Workshops on Ethics and Clinical Research… Read More NIMR and EAHRC Launch Landmark National Workshop on Evidence-Based Healthcare ByErick Mboma February 21, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) in collaboration with the East African Health Research Commission (EAHRC), have launched the 1st National Workshops on Ethics and Clinical Research… Read More NIMR Yazindua Utafiti wa Utoaji wa Dawa ya Kichocho kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano Kupitia Mradi wa STEPPES ByErick Mboma February 19, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kupitia Mradi wa STEPPS (Strengthening Health System Capacity for Access and Delivery of Paediatric Praziquantel for Schistosomiasis in… Read More NIMR na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe Zasaini Hati ya Makubaliano Kushirikiana Katika Tafiti Nchini ByErick Mboma February 13, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe (MNMH) leo tarehe 13/02/2026 zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha… Read More NIMR Yawanoa Watumishi wa Afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana Kuandika Maandiko ya Utafiti Kuboresha Huduma za Afya ByErick Mboma February 13, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kupitia Kituo cha Muhimbili, imewajengea uwezo watumishi wa afya 18 wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana (Amana RRH) katika uandishi wa… Read More WRAIR Delegation Visits NIMR–Mbeya Centre to Advance HIV Research Collaboration ByErick Mboma February 12, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research – Mbeya Medical Research Centre (NIMR-MMRC) on 10th February 2026 hosted a high-level delegation from Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR) in a… Read More Matokeo ya utafiti wa EPInA yaonesha kupungua kwa usubi na kifafa Mahenge ByErick Mboma February 7, 2026 Uncategorized Kiwango cha ugonjwa wa usubi kwa watu wenye kifafa katika eneo la Mahenge, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kimepungua hadi asilimia 22, huku maambukizi kwa ujumla yakipungua kwa takribani asilimia… Read More NIMR Emerges as a Global and Regional Leader in EDCTP-Supported Health Research ByErick Mboma January 12, 2026 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) in Tanzania, has been recognized as a leading contributor to internationally competitive health research following its strong performance in… Read More NIMR Yaongoza Mdahalo wa Sera Kuhakikisha Ushahidi wa Kisayansi Unatumika Kukabili Milipuko ya Magonjwa ByErick Mboma January 9, 2026 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) leo, tarehe 8 Januari 2026, imeendesha mkutano wa majadiliano ya sera uliowakutanisha watafiti, watunga sera, watoa maamuzi wa sekta ya afya… Read More Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

NIMR Director General Strengthens Research Direction at Tanga Centre to Address National Health Priorities Read More »