NIMR Yazidi Kung`ara Kimataifa

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendelea kung’ara kimataifa iliposhiriki katika kongamano la kisayansi la American Society of Tropical Medicine and Hygiene (ASTMH) kwa mwaka 2025.Katika kongamano hilo, watafiti kadhaa wa NIMR walishiriki na kuwasilisha jumla ya tafiti 16 za kisayansi 13 zikiwa posters na 3 ni mawasilisho kwa njia ya mdomo yanayohusu tafiti bunifu katika eneo la magonjwa ya tropiki. Uwakilishi huu umeonesha ubora na thamani ya tafiti za NIMR, pamoja na mchango wake katika kuzalisha ushahidi wa kisayansi unaosaidia kuendeleza afya ya jamii duniani.Katika hatua ya kujivunia, Bi. Catherine Bakari Mvaa ambaye ni mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Chuo Kikuu cha Basel nchini Uswisi aliyefadhiliwa na mradi wa utafiti wa MSMT awamu ya kwanza wa NIMR alipokea tuzo ya Professor Dominic Kwiatkowski Fellowship ya Gates Foundation kutokana na ubora wa utafiti wake ikionyesha kutambuliwa kwa mchango wake katika maendeleo ya kisayansi.Kongamano hili ni jukwaa la kimataifa linalowakutanisha wanasayansi na wataalamu mbalimbali kujadiliana maendeleo ya kisayansi na kitabibu katika tiba ya magonjwa ya kitropiki. Kwa mwaka huu, kongamano hilo la siku tano limefanyika jijini Toronto, Canada kuanzia tarehe 9–13 Novemba 2025. Section Title New Hope for Malaria Treatment: Tanzanian Scientists Lead Groundbreaking Clinical Trial ByErick Mboma November 22, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) Tanga Medical Research Centre, led by Principal Investigator Dr. Samwel Gesase as the country Coordinator, has been instrumental in the… Read More NIMR Yazidi Kung`ara Kimataifa ByErick Mboma November 17, 2025 Uncategorized Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imeendelea kung’ara kimataifa iliposhiriki katika kongamano la kisayansi la American Society of Tropical Medicine and Hygiene (ASTMH) kwa… Read More NIMR Leads Global Effort to Combat Arboviral Diseases Using One Health Approach ByErick Mboma October 10, 2025 Uncategorized In demonstration of leadership in global health research, the National Institute for Medical Research (NIMR) conducted a five-day Arboviral Workshop at NIMR Mbeya Medical Research Centre under the… Read More Baraza Jipya la NIMR Lapatiwa Mafunzo ya Uongozi na Utawala Bora kwa Taasisi za Umma ByErick Mboma October 9, 2025 Uncategorized Baraza jipya la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) limepatiwa mafunzo ya uongozi na utawala bora siku tatu kuanzia tarehe 6 hadi 8 Oktoba 2025 na Taasisi ya Uongozi (Uongozi… Read More NIMR Strengthens Global Research Collaboration ByErick Mboma September 30, 2025 Uncategorized The National Institute for Medical Research (NIMR) on 29th September 2025, launched a five-day research collaboration meeting at Mwanza Medical Research Centre, focusing on sharing research findings… Read More Wizara ya Afya Yazindua Baraza la Nimr Jipya ByErick Mboma September 28, 2025 Uncategorized Wizara ya Afya leo tarehe 26/09/2025 imezindua Baraza jipya la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), hatua muhimu inayolenga kuimarisha utafiti wa kisayansi, kukuza ubunifu na… Read More CARDIOVASCULAR DISEASE SYMPOSIUM ByErick Mboma September 24, 2025 Uncategorized Section Title CARDIOVASCULAR DISEASE SYMPOSIUM ByErick Mboma September 24, 2025 Uncategorized Section Title CARDIOVASCULAR DISEASE SYMPOSIUM ByErick Mboma September 24, 2025 Uncategorized Section… Read More NIMR Yapongezwa kwa Mchango Mkubwa Katika Kukuza Tiba Asili ByErick Mboma August 31, 2025 Uncategorized Wananchi wanaendelea kunufaika na huduma za tiba asili kupitia tafiti, na uanzishwaji wa kiwanda cha kuzalisha dawa za tiba asili cha NIMR Mabibo kufuatia juhudi kubwa za Serikali kuhakikisha dawa… Read More Tiba Asili Yazidi Kung’ara: Tafiti Zaidi Zahitajika ByErick Mboma August 29, 2025 Uncategorized Imeelezwa kuwa kuna uhitaji mkubwa wa kuendeleza tafiti za tiba asili na kuwekeza zaidi katika viwanda vya kuzalisha dawa za tiba hizo nchini, ili kuongeza tija katika kuboresha huduma za afya kwa… Read More Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Ut elit tellus, luctus nec ullamcorper mattis, pulvinar dapibus leo.

NIMR Yazidi Kung`ara Kimataifa Read More »